Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed  akionesha kitabu cha Mpango mkakati wa   kupambana na maradhi ya Homa ya Ini katika mkutano na  
							Waandishi wa Habari kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani ambayo itafikia kilele chake tarehe 28 Julay
							2019 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar  . Kukabidhi vifaa mbali mbali vya huduma Pemba Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akipeana mikono na  Mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislamu ya Muzdalifat Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla ikiwa ni ishara ya kupokea kwa Msaada wa Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuia hio wakishirikiana na Shirika la H,H,R,D kutoka Marekani 
							hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akimpandisha Mtoto Sulhia Idi Nassor ambae ni Mlemavu katika kigari katika hafla ya makabidhiano ya Vifaa Tiba vilivyotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Shirika
							la H,H,R,D kutoka Marekani hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar. -Mgeni Rasmi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitoa hotuba kuhusiana na maradhi ya shingo ya kizazi katika hafla ya kuwaaga wafanyakazi 18 wa kichina waliokuwa katika Mradi wa awamu ya Pili ya Upimaji na utibabu 
							wa Maradhi ya Shingo ya Kizazi hafla iliofanyika Katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ya Zanzibar pamoja na Maabara ya Vinasaba(DNA)Maruhubi Wilaya ya mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Ministry of Health Zanzibar.

Ministry welcome notes


Minister Of Health
Hon. Hamad Rashid Mohamed

Zanzibar, a semi-autonomous country, made up of twosister Islands (Unguja and Pemba) and forms part of the United Republic of Tanzania..

The Ministry of Health Zanzibar governs all matters related to health within the islands. In early 90’s, the Ministry embarked in the reform process which became fully fledged in 2002. The Zanzibar Health Sector Reform Strategic Plan I (ZHSRSP I) 2002/03– 2006/7 which was followed by ZHSRSP II 2006/7 – 2010/11 were established based on the 1999 Zanzibar Health Policy. The reform sought at decentralizing planning, prioritizing and integrating health services at district level..

In addition, the reform aimed at ensuring the availability of equitable high quality of health care services to all Zanzibaris with special focuses on priority diseases or burden of diseases and according to an Essential Health Care Package.

Systems


     iHRIS
 

      HMIS
  

      Tracking System

     Training